Kibassossi
Mandhari
Kibassossi ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabassossi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibassossi imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibassossi iko katika kundi la A10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibassossi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibassossi Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibassossi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bsi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibassossi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |