Kibaruga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibaruga ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabaruga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibaruga imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaruga iko katika kundi la Kibinanderean.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaruga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.