Kibarein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarein ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wabarein. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibarein imehesabiwa kuwa watu 4100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarein iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarein kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.