Kibarama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarama ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wabarama. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibarama imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibarama iko katika kundi la B40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.