Kibangubangu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibangubangu (lugha))
Kibangubangu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangubangu. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibangubangu imehesabiwa kuwa watu 171,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibangubangu iko katika kundi la L20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibangubangu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibangubangu Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibangubangu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bnx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibangubangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |