Kibangubangu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibangubangu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangubangu. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibangubangu imehesabiwa kuwa watu 171,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibangubangu iko katika kundi la L20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangubangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.