Kibanggai
Mandhari
Kibanggai (pia Kiaki) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanggai kwenye visiwa vya Banggai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibanggai imehesabiwa kuwa watu 125,000. Hata hivyo Kibanggai imeanza kutoweka kwa vile Wabanggai wengi wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanggai iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibanggai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanggai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibanggai katika Glottolog
- lugha ya Kibanggai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanggai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |