Kibangba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibangba (lugha))
Kibangba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabangba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibangba imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibangba iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibangba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibangba Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibangba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbe
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibangba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |