Kibanda-Magharibi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibanda-Kati-Magharibi)
Kibanda-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Magharibi nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 4500. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Sudan Kusini (1982). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Magharibi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibanda-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanda-Magharibi
- lugha ya Kibanda-Magharibi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbp
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |