Kibalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibalo (lugha))

Kibalo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabalo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibalo imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalo iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibalo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.