Kibakumpai
Mandhari
Kibakumpai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabakumpai kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibakumpai imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakumpai iko katika kundi la Kibarito. Kibakumpai hutumiwa kama lugha ya soko katikati ya kisiwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibakumpai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibakumpai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibakumpai katika Glottolog
- lugha ya Kibakumpai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibakumpai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |