Kibahnar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibahnar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wabahnar. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibahnar imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibahnar iko katika kundi lake lenyewe la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibahnar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.