Kibafaw-Balong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kibafaw-Balong ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabafaw-Balong. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibafaw-Balong imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibafaw-Balong iko katika kundi la A10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibafaw-Balong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.