Kibadimaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibadimaya ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabadimaya katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kibadimaya watatu tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadimaya kiko katika kundi la Kiwadjari, yaani inahusiana na Kiwajarri.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibadimaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.