Kibade

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kibade ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabade. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibade imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibade iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibade kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.