Kibabanki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibabanki (lugha))

Kibabanki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wababanki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibabanki imehesabiwa kuwa watu 22,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibabanki iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibabanki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.