Kiayerrerenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiayerrerenge ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaranda katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiayerrerenge ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayerrerenge kiko katika kundi la Kiarandiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayerrerenge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.