Kiawutu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiawutu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waawutu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiawutu imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawutu iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawutu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.