Kiavikam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiavikam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waavikam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiavikam imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiavikam iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiavikam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.