Kiavatime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiavatime ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waavatime. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiavatime imehesabiwa kuwa watu 24,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiavatime iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiavatime kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.