Kiaushi
Mandhari
Kiaushi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Waaushi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiaushi imehesabiwa kuwa watu 95,200. Pia kuna wasemaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiaushi iko katika kundi la M40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaushi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaushi Archived 31 Oktoba 2013 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaushi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/auh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |