Kiatemble
Mandhari
Kiatemble ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waatemble. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiatemble imehesabiwa kuwa watu 60 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatemble iko katika kundi la Kiwanang.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiatemble kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiatemble Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiatemble katika Glottolog
- lugha ya Kiatemble kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiatemble kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |