Kiasoa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kiasoa (lugha))
Kiasoa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waasoa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiasoa imehesabiwa kuwa watu 25,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasoa iko katika kundi la Kimangbetu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiasoa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiasoa Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiasoa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/asv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiasoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |