Kiarrernte cha Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiarrernte cha Mashariki ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waaranda katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiarrernte cha Mashariki ilihesabiwa kuwa watu 2380. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarrernte cha Mashariki kiko katika kundi la Kiarandiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarrernte cha Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.