Nenda kwa yaliyomo

Kiarosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiarosi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waarosi kwenye kisiwa cha Makira. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiarosi imehesabiwa kuwa watu 6750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarosi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarosi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.