Kiarhö
Mandhari
Kiarhö ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Waarhö. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiarhö imehesabiwa kuwa watu kumi inagawa kuna Waarhö 350, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarhö iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiarhö kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiarhö Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiarhö katika Glottolog
- lugha ya Kiarhö kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiarhö kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |