Kiarguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiarguni ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waarguni kwenye kisiwa cha Arguni. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiarguni imehesabiwa kuwa watu 150 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarguni iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarguni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.