Kiareba
Mandhari
Kiareba ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waareba katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiareba ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiareba kiko katika kundi la Kipama cha Norman.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiareba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiareba Archived 4 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiareba katika Glottolog
- lugha ya Kiareba katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiareba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |