Kiareare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ki'are'are ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wa'are'are kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Ki'are'are imehesabiwa kuwa watu 17,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki'are'are iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiareare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.