Kiaranda cha Kusini Chini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaranda cha Kusini Chini ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaranda katika jimbo la South Australia karibu na mji wa Alice Springs. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiaranda cha Kusini Chini ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaranda cha Kusini Chini kiko katika kundi la Kiarandiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaranda cha Kusini Chini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.