Kiaputai
Mandhari
Kiaputai (pia Kiilputih) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waaputai kwenye kisiwa cha Wetar. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiaputai imehesabiwa kuwa watu 150 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaputai iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaputai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaputai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaputai katika Glottolog
- lugha ya Kiaputai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaputai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |