Kianuta
Mandhari
Kianuta ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waanuta kwenye kisiwa cha Anuta. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kianuta imehesabiwa kuwa watu 270. Lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianuta iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kianuta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianuta Ilihifadhiwa 9 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kianuta katika Glottolog
- lugha ya Kianuta kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianuta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |