Kianus
Mandhari
Kianus (pia Kikorur) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waanus kwenye kisiwa cha Podena. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kianus ilihesabiwa kuwa watu 320 tu. Kwa vile Waanus wengi wameanza kuacha lugha yao, Kianus iko katika hatari ya kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianus iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kianus kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianus Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kianus katika Glottolog
- lugha ya Kianus kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianus kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |