Kianindilyakwa
Mandhari
Kianindilyakwa (au Kienindhilyagwa) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Waanindilyakwa kwenye kisiwa cha Groote Eylandt katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kianindilyakwa ilihesabiwa kuwa watu 1290. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianindilyakwa kiko katika kundi la Kiarnhem cha Mashariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kianindilyakwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianindilyakwa Ilihifadhiwa 23 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kianindilyakwa katika Glottolog
- lugha ya Kianindilyakwa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianindilyakwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |