Kianem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kianem ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waanem. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kianem imehesabiwa kuwa watu 800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kianem iko katika kundi la “West New Britain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.