Kiamba (Visiwa vya Solomon)
Mandhari
Kiamba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waamba kwenye kisiwa cha Utupua. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiamba imehesabiwa kuwa watu 590. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamba iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiamba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiamba Ilihifadhiwa 13 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiamba katika Glottolog
- lugha ya Kiamba kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiamba (Visiwa vya Solomon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |