Kiamarasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiamarasi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waamarasi kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiamarasi imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamarasi iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamarasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.