Kiamahai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiamahai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waamahai kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiamahai imehesabiwa kuwa watu 50 tu yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamahai iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamahai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.