Kialune

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kialune (pia Kisapalewa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waalune kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kialune imehesabiwa kuwa watu 17,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialune iko katika kundi la Kimaluku. Inawezekana kuwa lugha ya Kikawe ni lahaja ya Kialune.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialune kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.