Kialladian
Mandhari
Kialladian ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waalladian. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kialladian imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialladian iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kialladian kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialladian Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialladian katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ald
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialladian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |