Kiaiome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiaiome (au Kiayom) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaiome. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiaiome imehesabiwa kuwa watu 750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaiome iko katika kundi la Kiramu ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaiome kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.