Kiadnyamathanha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiadnyamathanha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waadnyamathanha kwenye makao ya Nepabunna katika jimbo la South Australia. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiadnyamathanha ilihesabiwa kuwa watu 107, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadnyamathanha kiko katika kundi la Kiyura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadnyamathanha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.