Kiaceh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaceh ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waaceh; wanaishi upande wa Kaskazini wa kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiaceh imehesabiwa kuwa watu milioni tatu na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaceh iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaceh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.