Kiabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabu (pia Kiadjora) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waabu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiabu imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabu iko katika kundi la “Grass”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.