Kiabron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabron ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waabron. Idadi ya wasemaji wa Kiabron nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 1,050,000. Pia kuna wasemaji 132,000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabron iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabron kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.