Kiabai-Sungai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabai-Sungai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waabai-Sungai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiabai-Sungai imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Waabai-Sungai wengi wameacha lugha yao na kutumia lugha nyingine, lugha ya Kiabai-Sungai imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabai-Sungai iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabai-Sungai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.