Khadidiatou Diallo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Khadidiatou Diallo (alizaliwa Senegal) ni mwanaharakati dhidi ya ukeketaji, mwanzilishi wa Groupe de femmes pour l'Abolition des Mutilations Sexuelles huko Ubelgiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khadidiatou Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.