Keylor Navas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keylor Navas akiichezea nchi yake ya Costa Rica dhidi ya Uruguay kwenye kombe la dunia 2014.

Keylor Antonio Navas Gamboa alizaliwa tarehe 15 Disemba 1986 nchini Costa Rica anajulikana kama Keylor Navas ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya golikipa katika klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Costa Rica.

Alianza kucheza kwenye klabu ya Saprissa na baadaye Albacete baada ya hapo akaenda kucheza La Liga kwenye klabu ya Levante baada ya Levante alinunuliwa na Real Madrid kwa uhamisho wa £10 mwaka 2014.

Navas amecheza mara 70 kwenye timu yake ya taifa na akaiwakilisha kwenye kombe la dunia mwaka 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keylor Navas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.