Kesaveloo Goonam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kesaveloo Goonam, pia anajulikana kama Kesaveloo Goonaruthnum Naidoo (1906- 1998) alikuwa daktari wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi. Aliitwa pia "Dokta wa Coolie", ambayo ikawa jina la wasifu wake wa 1991. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dr K Goonam Oral History Interview". scnc.ukzn.ac.za. Iliwekwa mnamo 2020-07-29. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kesaveloo Goonam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.