Keren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Keren (awali: Sanhit) ni mji uliopo katika mkoa wa Anseba nchini Eritrea. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2016 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 120,000 [1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Keren kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.